Mashine Za Kilimo Na Viwanda.pdf

sw1660589116-Wizara_Uwekezaji_Viwanda_Biashara-Teknolojia za Taasisi Mbalimbali-TAMISEMI 15 A 1.pdf
Preview of Mashine za Kilimo na Viwanda
🔗 Source: temdo.or.tz
📊 Size: 518 KB
📄 Pages: 7 pages
⬇️ Downloads: 81

Summary

Taasisi ya TEMDO inazalisha mashine mbalimbali za viwanda vidogo kwa ajili ya wajasiriamali wadogo na za kuongeza thamani ya mazao ya kilimo, mifugo, uvuvi na misitu. Mashine hizo ni pamoja na:
- Mtambo mdogo wa kutengeneza sukari
- Mitambo ya kiwanda kamili kidogo cha kukamua, kuchuja, na kusafisha mafuta ya alizeti
- Mashine za kuchakata karanga kupata siagi ya karanga
- Mtambo mdogo wa kuchakata mkonge
- Mtambo wa kuchakata muhogo
- Mashine ya kusaga viungo
- Mashine ndogo ya kukamua juisi ya matunda mbali mbali
- Mtambo mdogo wa kuchakata mafuta ya mawese
- Jokofu kwa ajili ya kuhifadhia mazao ya mboga mboga
- Mashine za kusaga na kukoboa nafaka
- Mtambo mdogo kwa ajili ya machinjio ya kuku
- Mashine ndogo ya kukamua asali kutoka kwenye masega ya nyuki bila kuharibu masega.
Gharama za mashine hizi zinatofautiana kutoka Tshs 2,800,000/= hadi Tshs 220,000,000/= kwa kila mtambo.

Description

Taasisi ya TEMDO inazalisha mashine mbalimbali za viwanda vidogo kwa ajili ya wajasiriamali wadogo na za kuongeza thamani ya mazao ya kilimo, mifugo, uvuvi na...

Technical Information

  • File Format: PDF
  • File Size: 518 KB
  • Pages: 7
  • Language: ES
  • Total Downloads: 81
  • Last Updated: 1 week ago

Document Overview

This PDF document about Mashine za Kilimo na Viwanda provides comprehensive information and guidance. Whether you're a beginner or advanced user, this resource offers valuable insights into Mashine za Kilimo na Viwanda.

Related Topics

If you're interested in Mashine za Kilimo na Viwanda, you might also want to explore:

Download Mashine za Kilimo na Viwanda eBooks for free and learn more about Mashine za Kilimo na Viwanda. These books contain exercises and tutorials to improve your practical skills, at all levels!

Not satisfied with this document? We have related documents to Mashine za Kilimo na Viwanda, try searching with similar keywords: Mashine za Kilimo na Viwanda, Viwanda, Download Theory Of Mashine Book By Rs Khurmi, mashine asinchrone, mashine qui coupe polyster, mashine qui coupe polyster 8, Mechanical Engineering Books Pdf Theory Of Mashine, Mashine

You can download PDF versions of the user's guide, manuals and ebooks about Mashine za Kilimo na Viwanda, you can also find and download for free A free online manual (notices) with beginner and intermediate, Downloads Documentation, You can download PDF files (or DOC and PPT) about Mashine za Kilimo na Viwanda for free, but please respect copyrighted ebooks.